Rais wa Korea Kusini Yoon atakiwa kuondoka chama chake

Rais wa Korea Kusini Yoon atakiwa kuondoka chama chake

Polisi wa jiji la New York wameanzisha msako wa kumtafuta mshukiwa aliyejifunika uso na kumuua kwa risasi, mkuu wa kampuni kubwa ya bima ya matibabu nchini Marekani, katika kile wachunguzi wanachoeleza kuwa ni “shambulio la kinyama, lakuvizia.”

Mtendaji mkuu wa UnitedHealthcare, Brian Thompson aliuawa kwa kupigwa risasi mgongoni Jumatano asubuhi nje ya Hoteli ya Hilton huko Midtown Manhattan, ambapo alikuwa anatarajia kuzungumza kwenye mkutano wa wawekezaji baadaye siku hiyo.

Ni Baba wa watoto wawili mwenye umri wa miaka 50, alipelekwa hospitalini, ambako alitangazwa kufariki dakika chache baada ya shambulio hilo, maafisa wamesema.

Wachunguzi wamesema hawajui sababu ya mshambuliaji kufanya hivyo, na kutoweka eneo la tukio bila kuchukua mali yoyote ya mwathiriwa.

Polisi wametoa zawadi ya dola za Kimarekani 10,000 kwa atakayetoa taarifa za kupatikana kwake.

v

Maelezo ya picha, CCTV ilimnasa mshukiwa kwenye dakika chache kabla ya shambulio hilo

Ufitinema Aime Gerard

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *