Arsenal itatathmini ubora wa Gabriel, Mikel Merino, Thomas Partey na Ricardo Calafiori lakini wote wanne “wanataka kucheza,” kulingana na meneja Mikel Arteta.

Takehiro Tomiyasu bado atakuwa nje.

Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes atacheza baada ya kutolewa kama tahadhari wakati wa ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton Jumapili.

Lisandro Martinez na Kobbie Mainoo hawatocheza kutokana na na kuwa na mlimbikizano wa kadi tano msimu huu.

Leny Yoro anaweza kucheza katika kikosi cha siku ya mechi ya Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya kupona majeraha ya mifupa.

Je, nani ataibuka mshindi? Dakika 90+ zitajibu hilo swali.

picha, Kocha mpya wa Man United, Reuben Amorim na kocha wa Arsenal, Mike Arteta

Ufitinema Aime Gerard

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *